Isaya 2:13
Isaiah 2:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani,
Isaiah 2:13 in English
Isaiah 2:13 · Berean Standard Bible
against all the cedars of Lebanon, lofty and lifted up, against all the oaks of Bashan,
Context
11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa
na kiburi cha wanadamu kitashushwa,
Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba
kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi,
kwa wote wanaojikweza
(nao watanyenyekezwa), 13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana,
na mialoni yote ya Bashani, 14kwa milima yote mirefu
na vilima vyote vilivyoinuka, 15kwa kila mnara ulio mrefu sana
na kila ukuta wenye ngome,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.