Native Bible

Isaiah 2:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa na kiburi cha wanadamu kitashushwa, Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo.

Isaiah 2:11 in English

Isaiah 2:11 · Berean Standard Bible

The proud look of man will be humbled, and the loftiness of men brought low; the LORD alone will be exalted in that day.

Context

9Kwa hiyo mwanadamu atashushwa na binadamu atanyenyekezwa: usiwasamehe. 10Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa Bwana na utukufu wa enzi yake! 11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa na kiburi cha wanadamu kitashushwa, Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, kwa wote wanaojikweza (nao watanyenyekezwa), 13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.