Native Bible

Isaiah 2:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa Bwana na utukufu wa enzi yake!

Isaiah 2:10 in English

Isaiah 2:10 · Berean Standard Bible

Go into the rocks and hide in the dust from the terror of the LORD and the splendor of His majesty.

Context

8Nchi yao imejaa sanamu, wanasujudia kazi za mikono yao, vitu vile vidole vyao vimevitengeneza. 9Kwa hiyo mwanadamu atashushwa na binadamu atanyenyekezwa: usiwasamehe. 10Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa Bwana na utukufu wa enzi yake! 11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa na kiburi cha wanadamu kitashushwa, Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, kwa wote wanaojikweza (nao watanyenyekezwa),

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.