Native Bible

Isaiah 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, kwa wote wanaojikweza (nao watanyenyekezwa),

Isaiah 2:12 in English

Isaiah 2:12 · Berean Standard Bible

For the Day of the LORD of Hosts will come against all the proud and lofty, against all that is exalted— it will be humbled—

Context

10Ingieni kwenye miamba, jificheni ardhini kutokana na utisho wa Bwana na utukufu wa enzi yake! 11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa na kiburi cha wanadamu kitashushwa, Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba kwa wote wenye kujivuna na wenye kiburi, kwa wote wanaojikweza (nao watanyenyekezwa), 13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, na mialoni yote ya Bashani, 14kwa milima yote mirefu na vilima vyote vilivyoinuka,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.