Native Bible

Isaiah 2:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa kila meli ya biashara,* na kila chombo cha baharini cha fahari.

Isaiah 2:16 in English

Isaiah 2:16 · Berean Standard Bible

against every ship of Tarshish,* and against every stately vessel.

Context

14kwa milima yote mirefu na vilima vyote vilivyoinuka, 15kwa kila mnara ulio mrefu sana na kila ukuta wenye ngome, 16kwa kila meli ya biashara,* na kila chombo cha baharini cha fahari. 17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo, 18nazo sanamu zitatoweka kabisa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.