Waebrania 5:6
Hebrews 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia mahali pengine asema, “Wewe ni kuhani milele, kwa mfano wa Melkizedeki.”
Hebrews 5:6 in English
Hebrews 5:6 · Berean Standard Bible
And in another passage God says: “You are a priest forever in the order of Melchizedek.”*
Context
4Hakuna anayejitwalia heshima hii mwenyewe; ni lazima aitwe na Mungu, kama vile Aroni alivyoitwa. 5Pia Kristo hakujitwalia utukufu yeye mwenyewe wa kuwa Kuhani Mkuu, bali Mungu alimwambia,
“Wewe ni Mwanangu;
leo mimi nimekuzaa.” 6Pia mahali pengine asema,
“Wewe ni kuhani milele,
kwa mfano wa Melkizedeki.” 7Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu. 8Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.