Waebrania 5:7
Hebrews 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu.
Hebrews 5:7 in English
Hebrews 5:7 · Berean Standard Bible
During the days of Jesus’ earthly life, He offered up prayers and petitions with loud cries and tears to the One who could save Him from death, and He was heard because of His reverence.
Context
5Pia Kristo hakujitwalia utukufu yeye mwenyewe wa kuwa Kuhani Mkuu, bali Mungu alimwambia,
“Wewe ni Mwanangu;
leo mimi nimekuzaa.” 6Pia mahali pengine asema,
“Wewe ni kuhani milele,
kwa mfano wa Melkizedeki.” 7Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu. 8Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata, 9na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.