Waebrania 5:8
Hebrews 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata,
Hebrews 5:8 in English
Hebrews 5:8 · Berean Standard Bible
Although He was a Son, He learned obedience from what He suffered.
Context
6Pia mahali pengine asema,
“Wewe ni kuhani milele,
kwa mfano wa Melkizedeki.” 7Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii kwake kwa unyenyekevu. 8Ingawa alikuwa Mwana, alijifunza utiifu kutokana na mateso aliyoyapata, 9na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii. 10Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.