Native Bible

Habakkuk 3:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

milima ilikuona ikatetemeka. Mafuriko ya maji yakapita huko; vilindi vilinguruma na kuinua mawimbi yake juu.

Habakkuk 3:10 in English

Habakkuk 3:10 · Berean Standard Bible

The mountains saw You and quaked; torrents of water swept by. The deep roared with its voice and lifted its hands on high.

Context

8Ee Bwana, uliikasirikia mito? Je, ghadhabu yako ilikuwa dhidi ya vijito? Je, ulighadhibikia bahari ulipoendesha farasi wako na magari yako ya ushindi? 9Uliufunua upinde wako na kuita mishale mingi. Uliigawa dunia kwa mito; 10milima ilikuona ikatetemeka. Mafuriko ya maji yakapita huko; vilindi vilinguruma na kuinua mawimbi yake juu. 11Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni katika mngʼao wa mishale yako inayoruka, na katika mngʼao wa mkuki wako umeremetao. 12Kwa ghadhabu ulipita juu ya dunia, na katika hasira ulikanyaga mataifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.