Native Bible

Habakkuk 3:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uliufunua upinde wako na kuita mishale mingi. Uliigawa dunia kwa mito;

Habakkuk 3:9 in English

Habakkuk 3:9 · Berean Standard Bible

You brandished Your bow; You called for many arrows. Selah You split the earth with rivers.

Context

7Niliona watu wa Kushani katika dhiki, na makazi ya Midiani katika maumivu makali. 8Ee Bwana, uliikasirikia mito? Je, ghadhabu yako ilikuwa dhidi ya vijito? Je, ulighadhibikia bahari ulipoendesha farasi wako na magari yako ya ushindi? 9Uliufunua upinde wako na kuita mishale mingi. Uliigawa dunia kwa mito; 10milima ilikuona ikatetemeka. Mafuriko ya maji yakapita huko; vilindi vilinguruma na kuinua mawimbi yake juu. 11Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni katika mngʼao wa mishale yako inayoruka, na katika mngʼao wa mkuki wako umeremetao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.