Mwanzo 6:10
Genesis 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.
Genesis 6:10 in English
Genesis 6:10 · Berean Standard Bible
And Noah had three sons: Shem, Ham, and Japheth.
Context
8Lakini Noa akapata kibali machoni pa Bwana. 9Hivi ndivyo vizazi vya Noa.
Noa alikuwa mtu wa haki, na mkamilifu miongoni mwa watu wa wakati wake, tena alitembea na Mungu. 10Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi. 11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu. 12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.