Native Bible

Genesis 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Noa akapata kibali machoni pa Bwana.

Genesis 6:8 in English

Genesis 6:8 · Berean Standard Bible

Noah, however, found favor in the eyes of the LORD.

Context

6Bwana akasikitika kwamba alimuumba mwanadamu duniani, moyo wa Mungu ukajaa masikitiko. 7Kwa hiyo Bwana akasema, “Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemuumba kutoka kwenye uso wa dunia, wanadamu na wanyama, pamoja na viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Kwa maana nasikitika kuwaumba.” 8Lakini Noa akapata kibali machoni pa Bwana. 9Hivi ndivyo vizazi vya Noa. Noa alikuwa mtu wa haki, na mkamilifu miongoni mwa watu wa wakati wake, tena alitembea na Mungu. 10Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.