Native Bible

Genesis 6:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao.

Genesis 6:12 in English

Genesis 6:12 · Berean Standard Bible

And God looked upon the earth and saw that it was corrupt; for all living creatures * on the earth had corrupted their ways.

Context

10Noa alikuwa na wana watatu: Shemu, Hamu na Yafethi. 11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu. 12Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao. 13Kwa hiyo Mungu akamwambia Noa, “Nitawaangamiza watu wote, kwa kuwa dunia imejaa ukatili kwa sababu yao. Hakika mimi nitaangamiza watu pamoja na dunia. 14Kwa hiyo jitengenezee safina kubwa kwa mbao za mvinje, tengeneza vyumba ndani yake na uipake lami ndani na nje.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.