Native Bible

Genesis 5:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.

Genesis 5:25 in English

Genesis 5:25 · Berean Standard Bible

When Methuselah was 187 years old, he became the father of Lamech.

Context

23Enoki aliishi jumla ya miaka 365. 24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua. 25Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki. 26Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.