Mwanzo 5:26
Genesis 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Genesis 5:26 in English
Genesis 5:26 · Berean Standard Bible
And after he had become the father of Lamech, Methuselah lived 782 years and had other sons and daughters.
Context
24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua. 25Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki. 26Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. 28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.