Mwanzo 5:27
Genesis 5:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.
Genesis 5:27 in English
Genesis 5:27 · Berean Standard Bible
So Methuselah lived a total of 969 years, and then he died.
Context
25Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki. 26Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. 28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. 29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.