Native Bible

Genesis 5:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.”

Genesis 5:29 in English

Genesis 5:29 · Berean Standard Bible

And he named him Noah,* saying, “May this one comfort us in the labor and toil of our hands caused by the ground that the LORD has cursed.”

Context

27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. 28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. 29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.” 30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 31Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.