Mwanzo 5:30
Genesis 5:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Genesis 5:30 in English
Genesis 5:30 · Berean Standard Bible
And after he had become the father of Noah, Lamech lived 595 years and had other sons and daughters.
Context
28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. 29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.” 30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 31Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa. 32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.