Native Bible

Genesis 5:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.

Genesis 5:31 in English

Genesis 5:31 · Berean Standard Bible

So Lamech lived a total of 777 years, and then he died.

Context

29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.” 30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 31Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa. 32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.