Native Bible

Genesis 5:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.

Genesis 5:32 in English

Genesis 5:32 · Berean Standard Bible

After Noah was 500 years old, he became the father of Shem, Ham, and Japheth.

Context

30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 31Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa. 32Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.