Native Bible

Genesis 5:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.

Genesis 5:28 in English

Genesis 5:28 · Berean Standard Bible

When Lamech was 182 years old, he had a son.

Context

26Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 27Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa. 28Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. 29Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.” 30Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.