Native Bible

Genesis 5:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.

Genesis 5:24 in English

Genesis 5:24 · Berean Standard Bible

Enoch walked with God, and then he was no more, because God had taken him away.*

Context

22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 23Enoki aliishi jumla ya miaka 365. 24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua. 25Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki. 26Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.