Mwanzo 5:22
Genesis 5:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Genesis 5:22 in English
Genesis 5:22 · Berean Standard Bible
And after he had become the father of Methuselah, Enoch walked with God * 300 years and had other sons and daughters.
Context
20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. 21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. 22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 23Enoki aliishi jumla ya miaka 365. 24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.