Mwanzo 5:21
Genesis 5:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
Genesis 5:21 in English
Genesis 5:21 · Berean Standard Bible
When Enoch was 65 years old, he became the father of Methuselah.
Context
19Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. 21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. 22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 23Enoki aliishi jumla ya miaka 365.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.