Native Bible

Genesis 5:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Genesis 5:19 in English

Genesis 5:19 · Berean Standard Bible

And after he had become the father of Enoch, Jared lived 800 years and had other sons and daughters.

Context

17Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. 18Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki. 19Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. 21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.