Native Bible

Genesis 5:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.

Genesis 5:20 in English

Genesis 5:20 · Berean Standard Bible

So Jared lived a total of 962 years, and then he died.

Context

18Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki. 19Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa. 21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. 22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.