Native Bible

Genesis 5:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki.

Genesis 5:18 in English

Genesis 5:18 · Berean Standard Bible

When Jared was 162 years old, he became the father of Enoch.

Context

16Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 17Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. 18Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki. 19Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.