Native Bible

Genesis 5:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.

Genesis 5:17 in English

Genesis 5:17 · Berean Standard Bible

So Mahalalel lived a total of 895 years, and then he died.

Context

15Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. 16Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 17Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. 18Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki. 19Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.