Native Bible

Genesis 5:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Genesis 5:16 in English

Genesis 5:16 · Berean Standard Bible

And after he had become the father of Jared, Mahalalel lived 830 years and had other sons and daughters.

Context

14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa. 15Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. 16Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 17Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa. 18Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.