Native Bible

Genesis 5:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.

Genesis 5:14 in English

Genesis 5:14 · Berean Standard Bible

So Kenan lived a total of 910 years, and then he died.

Context

12Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. 13Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa. 15Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. 16Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.