Mwanzo 5:13
Genesis 5:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Genesis 5:13 in English
Genesis 5:13 · Berean Standard Bible
And after he had become the father of Mahalalel, Kenan lived 840 years and had other sons and daughters.
Context
11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. 12Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. 13Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa. 15Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.