Native Bible

Genesis 5:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.

Genesis 5:11 in English

Genesis 5:11 · Berean Standard Bible

So Enosh lived a total of 905 years, and then he died.

Context

9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. 10Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. 12Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. 13Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.