Native Bible

Genesis 5:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.

Genesis 5:12 in English

Genesis 5:12 · Berean Standard Bible

When Kenan was 70 years old, he became the father of Mahalalel.

Context

10Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. 12Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. 13Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.