Native Bible

Genesis 5:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Genesis 5:10 in English

Genesis 5:10 · Berean Standard Bible

And after he had become the father of Kenan, Enosh lived 815 years and had other sons and daughters.

Context

8Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. 9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. 10Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. 12Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.