Native Bible

Genesis 5:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa.

Genesis 5:8 in English

Genesis 5:8 · Berean Standard Bible

So Seth lived a total of 912 years, and then he died.

Context

6Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. 7Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 8Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. 9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. 10Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.