Native Bible

Genesis 5:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Genesis 5:7 in English

Genesis 5:7 · Berean Standard Bible

And after he had become the father of Enosh, Seth lived 807 years and had other sons and daughters.

Context

5Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa. 6Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. 7Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 8Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. 9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.