Native Bible

Genesis 5:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.

Genesis 5:6 in English

Genesis 5:6 · Berean Standard Bible

When Seth was 105 years old, he became the father of Enosh.

Context

4Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 5Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa. 6Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. 7Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 8Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.