Native Bible

Genesis 5:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

Genesis 5:4 in English

Genesis 5:4 · Berean Standard Bible

And after he had become the father of Seth, Adam lived 800 years and had other sons and daughters.

Context

2Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “mwanadamu.” 3Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, alikuwa na mwana aliyekuwa na sura yake, mwenye kufanana naye. Akamwita Sethi. 4Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 5Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa. 6Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.