Native Bible

Genesis 5:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.

Genesis 5:9 in English

Genesis 5:9 · Berean Standard Bible

When Enosh was 90 years old, he became the father of Kenan.

Context

7Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 8Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa. 9Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. 10Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 11Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.