Mwanzo 5:15
Genesis 5:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
Genesis 5:15 in English
Genesis 5:15 · Berean Standard Bible
When Mahalalel was 65 years old, he became the father of Jared.
Context
13Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 14Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa. 15Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi. 16Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 17Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.