Mwanzo 5:23
Genesis 5:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Enoki aliishi jumla ya miaka 365.
Genesis 5:23 in English
Genesis 5:23 · Berean Standard Bible
So Enoch lived a total of 365 years.
Context
21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela. 22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike. 23Enoki aliishi jumla ya miaka 365. 24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua. 25Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.