Mwanzo 36:31
Genesis 36:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala:
Genesis 36:31 in English
Genesis 36:31 · Berean Standard Bible
These are the kings who reigned in the land of Edom before any king reigned over the Israelites:*
Context
29Hawa ndio waliokuwa wakuu wa Wahori:
Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 30Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri. 31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. 33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.