Native Bible

Genesis 36:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba.

Genesis 36:32 in English

Genesis 36:32 · Berean Standard Bible

Bela son of Beor reigned in Edom; the name of his city was Dinhabah.

Context

30Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri. 31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. 33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 34Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.