Native Bible

Genesis 36:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri.

Genesis 36:30 in English

Genesis 36:30 · Berean Standard Bible

Dishon, Ezer, and Dishan. They are the chiefs of the Horites, according to their divisions in the land of Seir.

Context

28Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. 29Hawa ndio waliokuwa wakuu wa Wahori: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 30Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri. 31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.