Native Bible

Genesis 36:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.

Genesis 36:28 in English

Genesis 36:28 · Berean Standard Bible

These are the sons of Dishan: Uz and Aran.

Context

26Wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 27Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. 28Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. 29Hawa ndio waliokuwa wakuu wa Wahori: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 30Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.