Mwanzo 36:29
Genesis 36:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio waliokuwa wakuu wa Wahori: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,
Genesis 36:29 in English
Genesis 36:29 · Berean Standard Bible
These are the chiefs of the Horites: Chiefs Lotan, Shobal, Zibeon, Anah,
Context
27Wana wa Eseri walikuwa:
Bilhani, Zaavani na Akani. 28Wana wa Dishani walikuwa:
Usi na Arani. 29Hawa ndio waliokuwa wakuu wa Wahori:
Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 30Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Wahori, kufuatana na makundi yao, katika nchi ya Seiri. 31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.