Native Bible

Genesis 36:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani.

Genesis 36:27 in English

Genesis 36:27 · Berean Standard Bible

These are the sons of Ezer: Bilhan, Zaavan, and Akan.

Context

25Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana. 26Wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 27Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. 28Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. 29Hawa ndio waliokuwa wakuu wa Wahori: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.