Native Bible

Genesis 36:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana.

Genesis 36:25 in English

Genesis 36:25 · Berean Standard Bible

These are the children of Anah: Dishon and Oholibamah daughter of Anah.

Context

23Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. 24Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake. 25Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana. 26Wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 27Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.