Mwanzo 36:24
Genesis 36:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake.
Genesis 36:24 in English
Genesis 36:24 · Berean Standard Bible
These are the sons of Zibeon: Aiah and Anah. (This is the Anah who found the hot springs in the wilderness as he was pasturing the donkeys of his father Zibeon.)
Context
22Wana wa Lotani walikuwa:
Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 23Wana wa Shobali walikuwa:
Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. 24Wana wa Sibeoni walikuwa:
Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake. 25Watoto wa Ana walikuwa:
Dishoni na Oholibama binti wa Ana. 26Wana wa Dishoni walikuwa:
Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.