Native Bible

Genesis 36:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani.

Genesis 36:22 in English

Genesis 36:22 · Berean Standard Bible

The sons of Lotan were Hori and Hemam.* Timna was Lotan’s sister.

Context

20Hawa ndio walikuwa wana wa Seiri, Mhori, waliokuwa wakiishi katika nchi ile: Lotani, Shobali, Sibeoni, Ana, 21Dishoni, Eseri na Dishani. Hawa ndio wana wa Seiri huko Edomu waliokuwa wakuu kwa Wahori. 22Wana wa Lotani walikuwa: Hori na Homamu. Timna alikuwa dada yake Lotani. 23Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. 24Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.